Baraza Kuu la UN lajadili mzozo wa Ukraine saa chache baada ya mashambulizi ya Urusi

By Isaya Burugu/DW,Oct 11,2022-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeanza kujadili muswada wa azimio la kuitaka Urusi kuachana na mpango wake wa kuyanyakuwa majimbo manne ya Ukraine, mjadala ambao umetokea baada ya mfululizo wa mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine ambayo yamelaaniwa…

Taiwan haitatelekeza utamaduni wake licha ya shinikizo la China kuongezeka.

Kiongozi wa Taiwan ameionya China kwamba taifa hilo la kisiwa kamwe halitaacha kuzingatia utamaduni wake wa kidemokrasia ambapo ametoa ulinganisho na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine. Watu milioni 23 wa taifa hilo linalojitawala kidemokrasia, wanaishi chini ya kitisho cha kuvamiwa na…

Mashambulizi ya makombora katika miji ya Ukraine ukiwemo mji mkuu wa Kyiv, yamesababisha vifo vya watu kadhaa na wengine kujeruhiwa .

Mashambulizi ya makombora katika miji ya Ukraine ukiwemo mji mkuu wa Kyiv, yamesababisha vifo vya watu kadhaa na wengine kujeruhiwa leo Jumatatu, ikiwa ni siku moja baada ya Moscow kuishutumu Kyiv kwa mlipuko uliotokea kwenye daraja linalounganisha Crimea na Urusi. Kyrylo Tymoshenko,…

VITA VYA UKRAINE:Milipuko Yasikika katika mji mkuu Kyv

By Isaya Burugu/BBC ,Oct 10,2022Milipuko kadhaa imesikika katika mji mkuu wa Ukraine Kyiv.Haya ni kwa mjibu wa Ripoti za vyombo vya Habari.Mashambulizi hayo yanajiri siku mbili baada ya daraja pekee linalounganisha Urusi na Crimea inayokaliwa kimabavu na nchi hiyo kushambuliwa. Hapo jana,…

Watafiti wa sayansi nchini Uganda wasema virusi vya Ebola vinavyosambaa vimebadilika.

Watafiti nchini Uganda wamesema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika.Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan amesema hata hivyo hakuna ushahidi virusi hivyo vinaweza kuambukizwa zaidi ya aina ya awali. Kaleebu ameeleza kuwa Walichambua…

Rais wa Ukraine aitaka NATO kuishambulia Urusi kuizuia kutumia silaha za nyuklia

BY Isaya Burugu,Oct 7,2022-Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, akizungumza kwa njia ya video katika kituo cha wataalam cha Australia mnamo Oktoba 6, alisema kwamba NATO lazima ianzishe mashambulizi ya mapema ili “kuondoa uwezekano wa Urusi kutumia silaha za nyuklia.”Wakati huo huo, rais…

Shirika la afya duniani lapania kuanza majarabio ya chanjo dhidi ya virusi vya Ebola nchini Uganda

Shirika la Afya la duniani WHO linasema hivi karibuni litaanza majaribio ya chanjo moja au mbili dhidi ya aina ya virusi vya Ebola nchini Uganda. Bodi ya afya inasema inasubiri idhini ya udhibiti kutoka kwa taifa hilo la Afrika Mashariki. Ikiwa itaidhinishwa,…

Rais wa Uganda Yoweri Museveni aomba msamaha kwa rais wa Kenya William Ruto kufuatia matamshi ya mwanawe Muhoozi Kainerugaba

By: Brigit Agwenge, 5th Oct 2022, Siku chache tu baada ya mtoto wa rais wa Uganda Muhoozi Kainerugaba kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliosababisha mgawanyiko baina ya kenya na taifa hilo, rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa…